Skip to main content

MAMA AZIDI KUTAJWA KAMA RAISI SHUJAA




WOW..JUST WOW πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»..Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa na Jarida la TIME 100 katika orodha ya Viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani 


Jarida hili limesema Rais Samia ametajwa kutokana na uongozi wake wa kusisimua tangu alipoingia madarakani March 2021 na kuleta mabadiliko makubwa kwa nchi ya Tanzania ikiwemo kufungua mlango wa mazungumzo kati ya Wapinzani wa kisiasa kitendo kilichoashiria kujenga upya imani katika kidemokrasia, juhudi za kuongeza uhuru wa vyombo vya habari na amekuwa mfano wa kuigwa na Wanawake na Wasichana.


Kwenye orodha hii Rais Samia yupo na Viongozi wengine kama Rais Biden wa Marekani, Rais Xi Jinping wa China, Rais Volodymir Zelenskyy wa Ukraine na Rais Vladimir Putin wa Urusi.


Mama anaweza sana na anafit mno...yani kiatu cha urais kimemtosha kabisa...πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»Dunia imejionea  yenyewe haya makubwa anayoyafanya Mhe.Rais....


 *Hakika tupo mikono *salama ya Rais Awamu Ya 6 Mhe.Samia Suluhu Hassan...* 

TanzaniaImara..KaziIendelee

 

Comments

Popular posts from this blog

BENEFITS OF ROYAL TOUR IN TANZANIA ESPECIALLY IN TOURISM SECTOR AND INVESTMENT

  BENEFITS OF THE ROYAL TOUR FILM TO PROMOTE TANZANIA TOURISM AND INVESTMENT.  History is officially written today Monday April 18 2022 on International Aviation where the Royal Tour for Tanzania Tourism and Investment Promotion will be officially launched in New York USA and will be screened all over the world to attract more tourists and investors to visit the country and perform. business with us.  In early September last year, 2021, President Samia Suluhu Hassan began filming this popular Royal Tour film in various parts of Zanzibar, Bagamoyo, Arusha, Mara and other parts of the country with the aim of promoting Tanzania International in the area of ​​tourist attractions. tourism, investment areas, arts and culture of the people of Tanzania.  Upon completion, the film, which aims to promote Tanzania International, is officially launched for the first time today in New York in the United States, then Los Angeles, Dar es Salaam and Zanzibar and continues to be sh...