Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2022

MAMA AZIDI KUTAJWA KAMA RAISI SHUJAA

WOW..JUST WOW πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»..Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa na Jarida la TIME 100 katika orodha ya Viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani  Jarida hili limesema Rais Samia ametajwa kutokana na uongozi wake wa kusisimua tangu alipoingia madarakani March 2021 na kuleta mabadiliko makubwa kwa nchi ya Tanzania ikiwemo kufungua mlango wa mazungumzo kati ya Wapinzani wa kisiasa kitendo kilichoashiria kujenga upya imani katika kidemokrasia, juhudi za kuongeza uhuru wa vyombo vya habari na amekuwa mfano wa kuigwa na Wanawake na Wasichana. Kwenye orodha hii Rais Samia yupo na Viongozi wengine kama Rais Biden wa Marekani, Rais Xi Jinping wa China, Rais Volodymir Zelenskyy wa Ukraine na Rais Vladimir Putin wa Urusi. Mama anaweza sana na anafit mno...yani kiatu cha urais kimemtosha kabisa...πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»Dunia imejionea  yenyewe haya makubwa anayoyafanya Mhe.Rais....  *Hakika tupo mikono *salama ya Rais Awamu Ya 6 Mhe.Samia Suluhu Hassan...*  TanzaniaIm...

MENGI YAMEFANYIKA NDANI YA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA

  MENGI YAMEFANYIKA NDANI YA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako 1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66.  2. Amejenga madarasa 15000 nchi nzima.  3. Amevifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa.  4. Amemalizia Ujenzi wa Daraja la Tanzanite. 5. Amepandisha mishahara kwa Wafanyakazi kwa asilimia 23.3 6. Amefuta stakabadhi ghalani kwa mazao ya Pamba,dengu Choroko, mbaazi na Ufuta.  7. Amepandisha bei ya mbaazi kutoka shilingi mia 300 kwa kilo hadi shilingi 3000. 8. Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho.  9. Amepandisha Bajeti ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita. Barabara zinaendelea kujengwa.  10. Ameongeza bajeti...