WOW..JUST WOW ππ»ππ»ππ»..Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa na Jarida la TIME 100 katika orodha ya Viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani Jarida hili limesema Rais Samia ametajwa kutokana na uongozi wake wa kusisimua tangu alipoingia madarakani March 2021 na kuleta mabadiliko makubwa kwa nchi ya Tanzania ikiwemo kufungua mlango wa mazungumzo kati ya Wapinzani wa kisiasa kitendo kilichoashiria kujenga upya imani katika kidemokrasia, juhudi za kuongeza uhuru wa vyombo vya habari na amekuwa mfano wa kuigwa na Wanawake na Wasichana. Kwenye orodha hii Rais Samia yupo na Viongozi wengine kama Rais Biden wa Marekani, Rais Xi Jinping wa China, Rais Volodymir Zelenskyy wa Ukraine na Rais Vladimir Putin wa Urusi. Mama anaweza sana na anafit mno...yani kiatu cha urais kimemtosha kabisa...ππ»ππ»ππ»ππ»Dunia imejionea yenyewe haya makubwa anayoyafanya Mhe.Rais.... *Hakika tupo mikono *salama ya Rais Awamu Ya 6 Mhe.Samia Suluhu Hassan...* TanzaniaIm...